Jamani mnaingizaje hela kwa siku? Tupeane hiyo michongo

Jamani mnaingizaje hela kwa siku? Tupeane hiyo michongo

Tatizo kubwa la watu mlioajiriwa mnataka kula kote kote, kwa stahili hiyo kutoboa ni ngumu sana.
Amua kufanya kitu kimoja, endelea kula mshahara au njoo mtaani upambane. Mbali na hivyo utaishia kupata hela ya kula tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba maisha ya kuajiliwa nimeyachoka nataka nichukue maamuzi magumu kuajiliwa unaishia kupata hela ya kula tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshahara haujawahi kutosha na hauto kuja kutosha kwasababu ukiongezeka na matumizi huongezeka automatically

Kipimo cha akili yako ni kutafuta wazo mbadala la nini cha kufanya then ukisha jua nini ufanye ndio utafute mtaji kupitia huo mishahara wako mdogo ukiweza utakua man of the match na ukishindwa ujue akili yako bado haiwezi kukabiliana na changamoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo Ukiomba ushauri tu kwa watu basi hapo tegemea hadi walio na stress zao nao watataka kukushauri

Nimesema tu wakuu kama nimekosea naomba msamaha

"Hata siku ni zawadi kutoka kwa mungu"
 
Bongo Ukiomba ushauri tu kwa watu basi hapo tegemea hadi walio na stress zao nao watataka kukushauri

Nimesema tu wakuu kama nimekosea naomba msamaha

"Hata siku ni zawadi kutoka kwa mungu"
na sio kama anaekushauri wote hawana stress ila anakushauri kutokana na uzoefu wake alivyopitia ila kila mtu anastress zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo vipi wadau,

Mimi kijana nafanya kazi sehemu moja ila mshahara wangu mdogo ila unagawanyika sana naona kabisa mshahara haujitoshelezi. Nimeandika huu uzi kwa wale wajanja mjini tupeani basi code nasi tufanye hizo harakati tutoboe wote maisha kiukweli hela ya kutegemea mshahara ni mateso sana.

Kama una mchongo mzuri tuambieni ila sio wale business networking huko pasua kichwa maana kuna ndugu yangu alishawahi kufanya mwishoni kaishia kuacha tu na kawa maskini.

Tusaidieni na mimi nimiliki nyumba na magari

Sent using Jamii Forums mobile app
unakunywa pombe?
 
na sio kama anaekushauri wote hawana stress ila anakushauri kutokana na uzoefu wake alivyopitia ila kila mtu anastress zake

Sent using Jamii Forums mobile app
What wrong with you

hivi unajua ushauri maana yake nini ? ushauri ni kumuanda mtu kiasokolojia na ndio maana watoa ushauri wengi hasa developed country washauri wao wengi hawapo kwenye mahusiano ni wachache sana

Fanya analysis utakuja kufahamu

you are welcome
 
Katika kutafuta fursa anza kuangalia jamii inayokuzunguuka mahitaji yao ni yapi, katika hizo fursa anza na unayo ipenda kuifanya zaidi iwe rahisi kuongeza ubunifu.
 
Kama una eneo kubwa, lima bustani ya mboga mboga, kama mchicha, chinese, maboga, makunde, matembele

Wateja wako ni

Mama ntilie au hotelini, huwa wanachukua oda kubwa hawa,

Majumbani( individual)

Waranguzi

Magengeni

Etc.

Additional efforts hapo, ni wewe tu kuongeza dhamani ya mboga zako.

Kazi kwako mzee

Sent from my iPhone using JamiiForums

Mboga za majani unaweza kuongezaje thamani mkuu? Au kuweka na spices kama nyanya nk? Tufungue hapa pia
 
Mshahara haujawahi kutosha na hauto kuja kutosha kwasababu ukiongezeka na matumizi huongezeka automatically

Kipimo cha akili yako ni kutafuta wazo mbadala la nini cha kufanya then ukisha jua nini ufanye ndio utafute mtaji kupitia huo mishahara wako mdogo ukiweza utakua man of the match na ukishindwa ujue akili yako bado haiwezi kukabiliana na changamoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umemaliza kila kitu...mleta mada tayari ana nyenzo ya kupatia mtaji kazi kwake...
 
Back
Top Bottom