Jamani mnaingizaje hela kwa siku? Tupeane hiyo michongo

Jamani mnaingizaje hela kwa siku? Tupeane hiyo michongo

ANACHOKITAKA MLETA MADA NA WANACHOJADILI WATU HAPA JAMVINI NI MASHARIKI NA MAGHARIBI


MLETAMADA HATAKI VITHEORY VYA KUPATA HELA MANA VIPO VINGI SANA NA BILA IMPLICATIONS HAVINA MAANA YOYOTE

"IDEAS DON'T MATTER"



TUNATAKA PRACTICALS ZAIDI MFANO :-

1. MTU ANAPIGA MICHONGO ONLINE NA KUINGIZA HELA YA ZIADA KWA SIKU (ATUAMBIE HAPA DETAILS ZA HUWO MCHONGO)

2. AFFILIATE PROGRAMS

etc



SO WENYE MICHONGO YA KUINGIZA KIPATO CHA ZIADA WATUSHIRIKISHE HAPA WASIONE TABU (TUSAIDIANE KUFIKIA MAENDELEO)

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hiyo mifano ikitolewa bado utaonekana ni utapeli kama utapeli mwingine, ndo mana kuna watu wanapiga kimya kimya mzee.
 
Ooh ok, kwa huko ni pazito , Kuna family member yeye alikua na kiwanda cha sembe..Kuna wakati nilisimama kiwandan kwake hapo , aisee.. biashara ilikua imenyooka mno , kaja kujichanganya mwenyewe baadae..mambo mengii wakati bado hajawa mkubwa ile ile..kaanguka, ndio anaanza tena

Sent using Jamii Forums mobile app
hii ni Dom km ckosei!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha tu, elimu ya darasani hana..kaishia la 7, sema janja janja Sana...Ana uelewa mkubwa Sana wa mambo mengi , sijui kama Kuna Jambo utamuuliza au connection akakosa njia

Sema sasa mtoto wake wa Kwanza (kwangu ni Dada) hana interest yeyote ya biashara, wakat mzee alipeleka nje mtoto aje asimamie kampun, kasoma fresh, karudi kala hamsini zake [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
enyimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara ni imani mkuu. Ukifungua duka siku moja usitegemee ndani ya mwezi tayari wateja wote watakuja kwako.
Kabisaaa,nilifungua ofis ya uwakala mwanzon kamishen walikua wanapata elfu 60 mpk laki lkn kwasasa wanapata mpk laki 9 per month

Point ni uvumilivu na imani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui nikushauri nn lkn aisee ukiajiriwa ni ngumu sana kuona fursa....anyway tafuta mtaji huko kwenye ajira wekeza kwenye industry kama za chakula,usafirishaji was abiria na mizigo.....hizi zinaflow kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe iyo fursa nifanye au wewe si ujaajiriw umeona fursa ngapi weka hapa tufanye na sisi tutoke kwenye mambo ya kuajiriwa
 
Mkuu hii biashara naitamani ila siifahamu kiundani ABCs zake.
Kwa mfano mtaji unaohitajika ni kiasi gani?
vibali gani vinahitajika?
Soko lake lipoje na linapatikanaje?
Ushindani wake upoje mitaani?
Ooh ok, kwa huko ni pazito , Kuna family member yeye alikua na kiwanda cha sembe..Kuna wakati nilisimama kiwandan kwake hapo , aisee.. biashara ilikua imenyooka mno , kaja kujichanganya mwenyewe baadae..mambo mengii wakati bado hajawa mkubwa ile ile..kaanguka, ndio anaanza tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya biashara ndogo ndogo,Kama vile kuuza,ice cream,maandazi, au sambazia watumishi kweye ofisi zao vitafunwa Kama vile mikate Kama Hana cash mkopeshe baada ya siku tatu, pia upatapo mshahara nunua mahitaji ya chakula kwa mkupuo ili usichukue pesa ya biashara!

Hakikisha pesa hugawi ovyo kwa wategemezi wako hata hiyo biashara tumia faida baada yamwezi!
 
Portable toilets / mobile toilets zinakodishwa kwa ajili ya shughuli zote za wazi kama harusi, misiba hata kwenye maafa pia vinaweza kutumika.

Bei zetu ni kuanzia 150, 000 kwa siku
Karibuni sana.

Kwa mawasiliano piga simu namba 0768 333 953

Au email kwenda. ....hassandkikstoilets@gmail.com

Asanteni sana.
 
Back
Top Bottom