Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,517
Mimi naamini silaha kubwa walionayo matajiri ni guts, bhaasi....hizi nyingine ni porojo tu
Acha tu, elimu ya darasani hana..kaishia la 7, sema janja janja Sana...Ana uelewa mkubwa Sana wa mambo mengi , sijui kama Kuna Jambo utamuuliza au connection akakosa njia
Sema sasa mtoto wake wa Kwanza (kwangu ni Dada) hana interest yeyote ya biashara, wakat mzee alipeleka nje mtoto aje asimamie kampun, kasoma fresh, karudi kala hamsini zake [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app