Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,255
Du unakumbuka bado majina ya michezo ya radio, from me to you ilikuwa inarushwa na External service, hivi jamani hii station bado ipo?.Chei Chei Shangazi
"Kitendawili, tega".
Kijaruba, hahaaaa Abdallah Mlawa aka mr Kijaluba.
From me to you.....hapo unasikia soul music si mchezo.
Siku ya Idd, wanapiga "Mpenzi wangu ninakupa, mkno wa Idd - by Sallum Abdallah".
Zilipendwa. Mhhhh, mchezo wa redio. Mie niliishia ule wa wale watoto walienda kutafuta maji ya uzima ili baba yao apone.
mama na mwana, kwa ambao kipindi tulikuwa watoto.
Michezo ya kuigiza pwagu na pwaguza, mzee jongo na bi nyakomba.:lol:
Bila kusahau tumbuizo asilia....captain wake akiwa uncle J nyaisanga.
Utamsikia akisema haooo mwanakuja sasa waluguru...anaachia ngoma
yao kidogo then utamsikia akisema aahh waluguru acheni hasira njooni pole pole
then anaachia ngoma sasa.
hahahahhahh...
bila kusahau mkoa kwa mkoa