Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Ndugu yangu kasoma Ulaya miaka mitatu. Alikuwa akiniambia ana totoz pisi kali ameoa kabisa.
Wamefika airport DSM majuzi, nimeenda kuwapokea. La karibu nianguke!
Bibie ana macho utafikiri indiketa za subaru! Nimshauri nini?