Jamani mpeni ushauri ndugu yangu, kaoa mzungu!

Jamani mpeni ushauri ndugu yangu, kaoa mzungu!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
1606311560408.png

Ndugu yangu kasoma Ulaya miaka mitatu. Alikuwa akiniambia ana totoz pisi kali ameoa kabisa.

Wamefika airport DSM majuzi, nimeenda kuwapokea. La karibu nianguke!

Bibie ana macho utafikiri indiketa za subaru! Nimshauri nini?
 
Back
Top Bottom