Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 16,419 Reaction score 26,594 Nov 25, 2020 #1 Ndugu yangu kasoma Ulaya miaka mitatu. Alikuwa akiniambia ana totoz pisi kali ameoa kabisa. Wamefika airport DSM majuzi, nimeenda kuwapokea. La karibu nianguke! Bibie ana macho utafikiri indiketa za subaru! Nimshauri nini?
Ndugu yangu kasoma Ulaya miaka mitatu. Alikuwa akiniambia ana totoz pisi kali ameoa kabisa. Wamefika airport DSM majuzi, nimeenda kuwapokea. La karibu nianguke! Bibie ana macho utafikiri indiketa za subaru! Nimshauri nini?
Vitalis Msungwite JF-Expert Member Joined May 11, 2014 Posts 3,292 Reaction score 7,867 Nov 25, 2020 #2 Jidu La Mabambasi said: View attachment 1634558 Ndugu yangu kasoma Ulaya miaka mitatu. Alikuwa akiniambia ana totoz pisi kali ameoa kabisa. Wamefika airport DSM majuzi, nimeenda kuwapokea. La karibu nianguke! Bibie ana macho utafikiri indiketa za subaru! Nimshauri nini? Click to expand... Kwa hiyo unakosoa uumbaji?
Jidu La Mabambasi said: View attachment 1634558 Ndugu yangu kasoma Ulaya miaka mitatu. Alikuwa akiniambia ana totoz pisi kali ameoa kabisa. Wamefika airport DSM majuzi, nimeenda kuwapokea. La karibu nianguke! Bibie ana macho utafikiri indiketa za subaru! Nimshauri nini? Click to expand... Kwa hiyo unakosoa uumbaji?
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,569 Reaction score 24,812 Nov 25, 2020 #3 Tuma picha kwanza.