Jamani mpenzi wangu hajapata siku zake mwezi saa, inawezekana ana mimba au?

Jamani mpenzi wangu hajapata siku zake mwezi saa, inawezekana ana mimba au?

chidy said

Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
64
Reaction score
123
jamani habari za saa hizi mpenzi wangu hajapata siku zake mwezi sasa hivi ina wezekana ana mimba au?
 
jamani habari za saa hizi mpenzi wangu hajapata siku zake mwezi saa hv ina wezekana ana mimba au
 
Kukosa MP haina maana mwanamke ni mjamzito, kuna dalili nyingine za awali...

Lakini kwa kuwa umepita mwezi tangu alipotaraji kuona MP yake, ni vyema mkapima ujauzito...

Nenda duka la dawa, nunua kipimia ujauzito kwa njia ya mkojo, tumia mkojo wa asubuhi
 
[emoji16][emoji16][emoji16] kitu kimejibu hicho.

Kikubwa tusikimbie majukumu mzee mwenzanguu
IMG_20191027_132224_193.jpeg
 
Back
Top Bottom