oooh my best xul weruweru.nipm her #
ushafanikiwa ?
weruweru mlezi wa wengi wanawake mbalimbali umewanyonyesha wachangia kuendeleza taifa letu sifa zako Tanzania hata nje za sifikaaa.
Mpe dogo hongera kwa kuchaguliwa weruweru. shule ipo mailisita nje kidogo tu ya moshi. Uniform zinabadilika mara nyingi zinatolewa shuleni ila asisahau kubeba Jembe lol!
hahahaha ok ntamwambia?weruweru mlezi wa wengi wanawake mbalimbali umewanyonyesha wachangia kuendeleza taifa letu sifa zako Tanzania hata nje za sifikaaa.
Mpe dogo hongera kwa kuchaguliwa weruweru. shule ipo mailisita nje kidogo tu ya moshi. Uniform zinabadilika mara nyingi zinatolewa shuleni ila asisahau kubeba Jembe lol!
asisahau kujipatia mwenza wake kutoka umbwe high school
asisahau kujipatia mwenza wake kutoka umbwe high school
mmmh wa umbwe nn wewe? kwa taarifa tu barua zenu tulikua tunazisoma prepo mbele ya darasa zima haswa zile mlizochapia kingeredha! hahaha mkuu niekumbuka mbali sana
mmmh wa umbwe nn wewe? kwa taarifa tu barua zenu tulikua tunazisoma prepo mbele ya darasa zima haswa zile mlizochapia kingeredha! hahaha mkuu niekumbuka mbali sana
Duuu. Nmepangiwa umbwe pale.ka vip anitafute
hahahaha tulikuwa tukija
pale mnatugombania, mnatupa contat zenu tuwatumie barua, au umesahau
kama na nyie mlikuwa mnatuma barua?