Jamani msaada kwa anae ijua weruweru girls

Abu123

Member
Joined
May 26, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Jamani nina mdogo wangu kachaguliwa weruweru kwa anaeifahamu vizuri anisaidie contact number iliwawasiliane amuelekeze mambo kadhaa musaada jamani kuanzia sare na kilaki2 ahsanteni....
 
weruweru mlezi wa wengi wanawake mbalimbali umewanyonyesha wachangia kuendeleza taifa letu sifa zako Tanzania hata nje za sifikaaa.
Mpe dogo hongera kwa kuchaguliwa weruweru. shule ipo mailisita nje kidogo tu ya moshi. Uniform zinabadilika mara nyingi zinatolewa shuleni ila asisahau kubeba Jembe lol!
 
asisahau kujipatia mwenza wake kutoka umbwe high school
 
hahahaha ok ntamwambia?
 
asisahau kujipatia mwenza wake kutoka umbwe high school

mmmh wa umbwe nn wewe? kwa taarifa tu barua zenu tulikua tunazisoma prepo mbele ya darasa zima haswa zile mlizochapia kingeredha! hahaha mkuu niekumbuka mbali sana
 
hahahahahha dhu vijana umbwe kumbe wana shida du?
 
Wakati wenu huu...now wapo masister wanaokoa Jahazi la hii Shule,sare form V ni Blue Bahari......Tamanije ILBORU hizo toto
 
mmmh wa umbwe nn wewe? kwa taarifa tu barua zenu tulikua tunazisoma prepo mbele ya darasa zima haswa zile mlizochapia kingeredha! hahaha mkuu niekumbuka mbali sana

hahahaha tulikuwa tukija pale mnatugombania, mnatupa contat zenu tuwatumie barua, au umesahau kama na nyie mlikuwa mnatuma barua?
 
Hahaaa mnaniacha hoi kwakweli. Eti pm sijui nitafute kwa no hii, kalangabao usithubutu kumpatia namba ya mtu yoyote huyo mdogo wako wengine ni wanaume wanamambo yao. Mwenye msaada akupe mawasiliano ya shuleni si longolongo.

Nb. Ni ushauri tu lakini
 
Wakuu nashukuruni kwa mchango wenu tayari dogo ashapata mawasiliano xo anajiandaa tu next week kwenda shule ahsanten sana🙂
 
hahahaha tulikuwa tukija
pale mnatugombania, mnatupa contat zenu tuwatumie barua, au umesahau
kama na nyie mlikuwa mnatuma barua?

mm sikua na bahati hiyo sijui ni mbaya au nzuri yaani nimesoma pale six yrs sikupata kiboy Umbwe lakin barua zenu tulizifahidi haswaa cc Naibili
 
Back
Top Bottom