Ungependa aliye mahiri kwenye ufundishaji wa ngumi za uso tu ama na za mbavu?Habari wana Jamvi nani anamfahamu mwl mana kuna fara flani kanizingua hapa Mwanza nataka nijifunze Ngumi ili nirudishe heshima ahsante sana nawasilisha.......!!!
Habari wana Jamvi nani anamfahamu mwl mana kuna fara flani kanizingua hapa Mwanza nataka nijifunze Ngumi ili nirudishe heshima ahsante sana nawasilisha.......!!!
Kuna mmoja tunaye hapa mtaani sema ana kakesi kadogo ka kumtumbua mtu macho...ni kaka Scorpion anaitwa msubiri amalize kesi kama huna haraka sana kuanza mafunzo!Za uso nimharibu show
Tafuta bunduki, ngumi mambo ya kizamani (s).Habari wana Jamvi nani anamfahamu mwl mana kuna fara flani kanizingua hapa Mwanza nataka nijifunze Ngumi ili nirudishe heshima ahsante sana nawasilisha.......!!!