Jamani msaada kwa mwalimu wa ngumi kuna mtu kanizingua

Habari wana Jamvi nani anamfahamu mwl mana kuna fara flani kanizingua hapa Mwanza nataka nijifunze Ngumi ili nirudishe heshima ahsante sana nawasilisha.......!!!
Ungependa aliye mahiri kwenye ufundishaji wa ngumi za uso tu ama na za mbavu?
 
Habari wana Jamvi nani anamfahamu mwl mana kuna fara flani kanizingua hapa Mwanza nataka nijifunze Ngumi ili nirudishe heshima ahsante sana nawasilisha.......!!!

mpaka ujifunze uelewa na yeye anaendelea kujiongezea ujuzi. hivyo siku ya pambano atakuzingua tena.
USHAURI mtafute mmalize tofauti zenu.
Au mvizie umpige mshale wa sumu bila ushahidi.
 
Haha ha ha ha ha huo ushauri nimeupokea
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Mkuu msamehe tu! Kitaani kugumu, Wananchi: Dawa hakuna Mahospitali! Serikali: Dawa zipo tele, mpaka bandarini zimejaa!
 
Rahisi sana huyo usimwendee dojo, mwendee kwa mtaalam. Na mwambie mtaalam Unataka hasimu wako kila akitoka mihangaiko hela yote ana kuletea wewe.
 
Habari wana Jamvi nani anamfahamu mwl mana kuna fara flani kanizingua hapa Mwanza nataka nijifunze Ngumi ili nirudishe heshima ahsante sana nawasilisha.......!!!
Tafuta bunduki, ngumi mambo ya kizamani (s).
 
mkubwa hivyo ulikuwa hujajifunza ngumi!!!!
maajabu
 
Back
Top Bottom