Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa kasema ngumiMtafute scorpion
Sayansi nyeusiDuuu mtaalam wa taaluma gani hiyo kiongozi
Frank Msigwa anazijua kweli?
Kama unaogopa masharti huna nia wewe.Bunduki kumiliki mashariti kibao
We mloge tu aamke asubuhi moja tu akienda chooni akojoe vidagaaHabari wana Jamvi nani anamfahamu mwl mana kuna fara flani kanizingua hapa Mwanza nataka nijifunze Ngumi ili nirudishe heshima ahsante sana nawasilisha.......!!!
Siku hizo watu wa maboks, ukipiga umeua na kesi unayo.Habari wana Jamvi nani anamfahamu mwl mana kuna fara flani kanizingua hapa Mwanza nataka nijifunze Ngumi ili nirudishe heshima ahsante sana nawasilisha.......!!!
Dah..ajabu sana...wengine wanajifunza shabaha...wengine wanajifunza ngumi...[emoji13] [emoji13]Habari wana Jamvi nani anamfahamu mwl mana kuna fara flani kanizingua hapa Mwanza nataka nijifunze Ngumi ili nirudishe heshima ahsante sana nawasilisha.......!!!