Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Nunuwa kitunguu swaumu kizima, menya punje zote halafu zitwange kisha weka kijiko kimoja cha maji ya uvuguvugu ili vilainike, baada ya hapo vimeze huo mchanganyiko. hapo Minyoo na Fungas itakuwa ni Historia kwako.Nidawa gani ya Kienyeji ya Fangasi uliotumia Sis???
Tusaidie nasi wenye tatizo kama lako plizzz.
Heshima kwenu wanajamvi,
kiukweli mimi ninashida nilikua ninaumwa fangasi kwa muda mrefu sana kwenye sehemu za siri ninachomshukur mungu ni kuwa nimepona baada yakutumia madawa mengi sana ikiwemo tiba za asili baada ya kuona hizi za kizungu hazinisaidii tena, ila tatizo ni kuwa toka jana kuna uchafu unanitoka huku sehemu za siri yaani unakuta chupi imechafuka kama rangi ya brown unaambatana na ute kama wa yai ila ni mzito kuliko ule wa yai (mucus) na huo uchafu ukishatoka kama ni asubuhi haut0ki tena na nikijicheki sehemu za siri sioni kama kuna uchafu wowote kwa nje, naombeni msaada jamani linaweza kuwa ni tatizo gani jamani nimeteseka sana na haya magonjwa yasiyoisha,ninatanguliza shukrani zangu za dhati
acha kutombana bila kinga utakufa kweli oooooh!!!
Acha kutombana bila kinga utakufa kweli oooooh!!!
Mkuu kiukweli hata nikiwa bafuni ninaoga tu kawaida na kama ni k yangu ninaisafisha tu vizuri sifanyi douching wala cha nini labda baadhi ya chupi nizibadilishe, ila pia tatizo hilo ya kutokwa na huo ute kama wa yai ila ni mzito zaidi ya ule wa yai hapo pia nashindwa kuelewa nini shida japokuwa unatoka siku moja moja sana
dada, pole, mi nakushauri uende hospitali ukapate vipimo sahihi ikiwezekana uende hospitali 3 tofauti kwa ajili ya vipimo tu, kisha utarudi hapa ukiwa na jina la ugonjwa uliogundulika unao na wanajamvii watakushauri aina ya dawa au namna nyingine ya kufanya. Tafadhari zingatia ushauri huu.
ulishaenda hospitali ukaongea na mtaalam? Huo ute unatoka kila siku au mida fulani kwenye mwezi? Cervical mucus kutegemeana na cycle yako. I'm not 100% sure lakini nafikiri ukikaribia period ute unakuwa mzito. Hiyo ya rangi ya brown inatokea kabla or baada ya period? Inawezekana ni rangi ya damu tu iliyobakia mwilini baada ya period. Kwa kweli haujatoa information nyingi, ni ngumu kudiagnose sababu 1) sisi si wataalam 2) hatuna details nyingi. Ningekushauri umuone daktari wa akina mama.
unatafunwa mara ngapi kwa siku na je ukimaliza tendo hilo huo ute unaendelea kutoka????
kiukweli huo ute huwa unatoka mara chache chache sana kwa wiki naweza uona mara moja au mara mbili co kila cku, na kuhusu hyo rangi ya brown ni kuwa unatoka mara nyingi unaweza kutoka baada ya period lakini unaweza pia kutoka mara moja moja sana na ni kuwa labda naweza kuwa nimemaliza period imeshia hata wiki nzima unashangaa umetoka japokuwa ni kidogo co mwingi na unaweza kuuona asubuhi tu, kesho yake hivyo hivyo asubuhi tu ndo unashangaa umetoka kdogo tu unakuta chupi imechafuka kdogo nashindwa kuelewa tatizo ni nini wandugu
ok , kwa mtazamo wangu sioni kama kuna tatizo hapa. Kama hauwashwi, haitoi harufu mbaya ( fishy smell), na haiumi sidhani kama una ugonjwa. Ujue kuna function ya miili yetu ambayo ni ya kawaida ambayo jamii yetu inasisitiza kuwa ni ugonjwa, uchafu, au kitu cha kuonea aibu. Kama una discharge ya brown siku kadhaa baada ya period hii itakuwa ni damu iliyobaki mwilini. Hata damu ambayo sio fresh/ iliyokauka inakuwa ya brown. Usihofu. The slimy, clear discharge is just mucus that lines your cervix during your cycle. Inaweza ikawa nzito na rangi ya maziwa pia.
yangu mimi kwa hapa ni pole sana. Sikiliza wataalamu, nami nakuombea.
mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako nimefarijika kwa kiasi kikubwa sana, maana uchafu huo hauna harufu yoyotee, siwashwi wala hakuna shida yoyote nyingine, na pia napenda kuuliza kama umeumwa fangas kwa muda mrefu zinaweza kuleta effect yoyote kwenye mfumo wa uzazi?
Je huo ute unafanana na shakhwa? kama ni hivyo ukilala jifungie chumbani na funguo, usikute kuna murume anakupiga bao ukiwa usingizini.mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako nimefarijika kwa kiasi kikubwa sana, maana uchafu huo hauna harufu yoyotee, siwashwi wala hakuna shida yoyote nyingine, na pia napenda kuuliza kama umeumwa fangas kwa muda mrefu zinaweza kuleta effect yoyote kwenye mfumo wa uzazi?
mkuu humdhalilishi m2 bali inadhohirisha akili yaki ilivyo na unaidhalilisha nafsi yako!Acha kutombana bila kinga utakufa kweli oooooh!!!
mkuu humdhalilishi m2 bali inadhohirisha akili yaki ilivyo na unaidhalilisha nafsi yako!
Pia kwani ungekaa kimya ungekufa?
Imagine wewe unaumwa af unapewa lugha za kejeli hivi! Hatukujui bali mungu anakujua zaid yetu.
ukisema fungus unamaanisha yeast infection? Kama unamaanisha yeast infection usihofu haiwezi kuharibu mfumo wa uzazi, hata uiugua muda mrefu. Magonjwa yanayoharibu mfumo wa uzazi mara nyingi ni magonjwa ya zinaa. Kama una mpango wa kuzaa itabidi upate tiba ya yeast infection kama unao, sababu inaweza ikasababisha njia yako ya uzazi kuwa "kali", nikimaanisha inawezekana since acidity ya uke wako haiko kwenye balance yake ya kawaida, sperm zinaweza kufa/kuharibika kabla ya kufika kwenye yai lako.