kipusy
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 639
- 323
mkuu nilienda clinic ya praise sanitarian nikapewa dawa ya maji ya kupaka pamoja na dawa ya kuchemsha inaitwa ut_pls
Hii clinic ipo wapi? na bei zao zikoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nilienda clinic ya praise sanitarian nikapewa dawa ya maji ya kupaka pamoja na dawa ya kuchemsha inaitwa ut_pls
Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.Nidawa gani ya Kienyeji ya Fangasi uliotumia Sis???
Tusaidie nasi wenye tatizo kama lako plizzz.
hii clinic ipo wapi? Na bei zao zikoje?