Jamani msaada, ninakufa

mkuu pole sana. kwenda hospital tu haitoshi bali nenda ukaonane na doctor bingwa wa magonjwa ya wanawake. hayo ni maradhi ya kawaida kwa wanawake so usiogope saana!. utapona. mia
 
Pekundu hapooo, tena zisiwe za kubana, ni vyema ukashona chupi ya batiki yenye kuingiza hewa kirahisi

Watu tupo class kujifunza na wewe unaleta utani! kwi kwi kwiiiiiiiiii
 
mkuu pole sana. Kwenda hospital tu haitoshi bali nenda ukaonane na doctor bingwa wa magonjwa ya wanawake. Hayo ni maradhi ya kawaida kwa wanawake so usiogope saana!. Utapona. Mia


nashukuru sana mkuu kwa ushauri wako nitajitahid kuuzingatia sana
 
Mtufute huyu mtu atakusaidia, anaitwa DR. AVITY SOKA. 0715385737
 
bado tu hujaenda hospitali?


kaka namshukuru mungu jana nilienda hospital nimepima vitu vyote mpaka UKIMWI, lakini chakushangaza dr. Ananiambia cna tatizo lolote japokuwa ni hospital YA private aliniambia akichua hela yangu kwa kunipa madawa huku cna tatizo ni dhambi kwake, kiukweli nililipia tu hela ya vipimo nikaondoka. Ndo najiuliza tatizo ni nini? Nashindwa hata kujielewa sasa
 
unanishangaza, lakini subiri niulize na wengine



kaka ni ukweli mimi mwenyewe na cio mtu mwingine nilienda hospital tena ya private nikapima vipimo vyote dr. Kaniambia cna tatizo lolote, sasa cjui kakosea au la hapo ndo nashindwa kupalewa ila hizi cku mbili jana na leo yaani nikijikagua siamini ila huo uchafu siuoni tena yaani navaa chupi mpaka jioni msafiiiiii mpaka najishangaa mwenyewe. Mungu amenitendea muujiza
 

Tuone kwa muda wa wiki 1, ikijirudia lete hapa upya. Nakutakia afya njema na usisahau kunywa maji ya kutosha kila siku.
 
Hat mimi nilikuwa nafikira kama zako maana huo ute wa yai mara nyingi hutoka siku tisa baada ya periodi na wakati mwingine huwa umechanganyikana na damu kidogo kuonyesha kuwa yuko kwenye kipindi cha heat. sasa kama sio hivyo basi atakuwa na matatizo mengine.

Mimi mwenye kuna wakati ila kwenye kipindi cha heat ute ukiwa hivyo wa yai ulikuwa umechanganyikana na damu ni kidogo sana ila ikanitia shaka ikabidi niende kwa gyno. akanichunguza niko ok akaniambia ni kwa sababu niko kwenye ovulation period. some times hutokea. So ningemshauri huyo dada awe mwngalifu hasa huko kwenye milango ya uzazi kama ushauri aliopewa hapo juu. pia ni vizuri kumuona gyno angalau mara mojamoja kwa mwaka. Sio mpaka ubebe mimba ndio umtafute gyno.
 


nashukuru sana mkuu kwa ushauri wako ni mzuri sana haswa pale ulipojitolea mfano wako mwenyewe, mimi nilenda hosp. Lakini dr. Alinipima vipimo vyote kaniambia cina tatizo lolote nataka nisubirie baada ya wiki moja au mbili niende tena hosp. Kwa uhakika zaid
 
Matola, umeacha tahadhari nyingine ambayo ni muhimu zaidi hata ya hiyo ya kukaa nyumbani. Ni kwamba hii dawa haiwafahi kabisa wenye tatizo la LOW PRESSURE. in fact hata wasio na tatizo ni muhimu wakati wa kunywa waandae kinywaji kinachopandisha pressure ili wakijisikia vibaya watumie. Vinginevyo, badala ya kupona fungus utaishia kukumbana na mauti.
 
Last edited by a moderator:
Pekundu hapooo, tena zisiwe za kubana, ni vyema ukashona chupi ya batiki yenye kuingiza hewa kirahisi

Mkuu Bujibuji acha uhuni bana!
Sasa atavaaje mambo yate yale kunako siku simba wawapo kinesi?

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:

Hiyo itakua ovulation,kuna watu inakua kama hvo yai linapokomaa,jaribu kuchunguza ilikua cku gani ktk mzunguko wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…