Jamani msaada Tafadhali

Jamani msaada Tafadhali

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
3,109
Reaction score
6,323
Nacheti cha diploma ila haina usajili wa nacte una usajili wa veta ila sijasomea veta nimesomea chuo cha kati hapa nilipo so kama sasa vyuo vyote vya sasa vimesajiliwa na nacte kwakutumia cheti changu naweza kujiunga chuo kikuu ? Au kitakuwa hakitambuliki
 
Tavufa AVN uende zako university.. ni diploma ya mambo ganii
 
Back
Top Bottom