Jamani msaada wa nacte

Jamani msaada wa nacte

nyota poa

Senior Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
152
Reaction score
7
Ivi nacte nasikia kwamba eti huwa wana kosesha watu kuingia chuo kikuu eti ni ukweli? Maana na mimi nimo kwenye list not selected.
 
Sio kuwa wanakosesha huenda hau qualify...passmark yako ikoje.??? Km umefaulu diploma form four ulipata nini.??? Isije ikawa ulivurunda nyuma ukitegemea diploma ikuokoe....haiwezkani
 
Sio kuwa wanakosesha huenda hau qualify...passmark yako ikoje.??? Km umefaulu diploma form four ulipata nini.??? Isije ikawa ulivurunda nyuma ukitegemea diploma ikuokoe....haiwezkani

Nijuavyo mm system yao ikikukubali tu maana ake ume qualify kusoma degree so apo ktk fom four walisema d3 baaasiiiiii na kama ulipata d3 basi utapata
 
form four ana division one, diploma ana GPA ya nne point kadhaa, je haqualify? Mimi najua NACTE bado hawajatoa ila TCU ndio tayari.
 
Je kama form four ana division four ya 30.namaanisha ana D 5.DIPLOMA ana GPA y 4.2,kweli kuna kuchaguliwa kweli?
 
Back
Top Bottom