jamani msaada

jamani msaada

Matata25

Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
60
Reaction score
18
naomba msaada huwa wakati mwingine nawashwa na nikijikuna panavimba na hugeuka kuwa kama jipu na tatizo hilo hutokea miguuni tu wadau namba msaada anaejua dawa na tatizo ni nini?
 
Nenda duka la dawa muelezee muuzaji atakwambia dawa
 
Jaribu kuacha kimoja kimoja kati ya hivi vyakula, afu ucheki matokeo.
1. MAZIWA
2. KITIMOTO
3. MAYAI NK
 
Back
Top Bottom