naomba msaada huwa wakati mwingine nawashwa na nikijikuna panavimba na hugeuka kuwa kama jipu na tatizo hilo hutokea miguuni tu wadau namba msaada anaejua dawa na tatizo ni nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.