if this is true inatakiwa tuachana na kuwalaumu wote wawili. Kinachotakiwa ni namna ya kukata hii chain isiendelee haraka. Mfano hapy akirudi kwa alex hatuko sure kama yuko salama kwani kuna vile vifaa vya mtasiwa hivyo utaendelea kusambaa. Pia akimuaacha vikta kuna vitu vingi,anaweza kuuawa na victa na ye kujiua,vikta ataanza kusambaza kwa hasira,hana uhakika kama alex yuko salama. Kinachotakiwa ni wao kuendelea kupeana psychological support ili victor asipatwe na severe post traumatic stress disorder. Kwani kitendo cha kujua tu unao unapatwa na stress,ukiongeza na kuachwa sababu hiyo na ule wasiwasi wa leaking of information ikifuatiwa na unyanyapaa hali inakuwa ngumu zaidi. Take responsibility ya kumfanya jamaa azoee situation(ni ngumu lakini kuna vitu vitapungua) huku mkiendelea kujadili mustakabali wenu. Vile unavyofikiri ungejisikia wewe ingekupata hali hiyo hata mwenzio atakuwa hivyo. Kuwa mvumilivu,achana na tamaa kwa muda huu,muombe mungu akupe nguvu.