Jamani Mshahara wa Assistant Lecture ni sh ngapi?

Jamani Mshahara wa Assistant Lecture ni sh ngapi?

Uko correct kabisa mkuu,, jamaa yangu ni mdau pale UDSM hii 1.6 to 2.3 ni kwa assistant lecturer, lecturer wanakula kuanzia 2,352,000 to the max of 2.7 million kwenye rank hiyo

Kumbe nachakaaa kwenye mamiradi haya eee!!!?? ngoja

Jamani eee Asanten sana
 
Kumbe nachakaaa kwenye mamiradi haya eee!!!?? ngoja

Jamani eee Asanten sana

Izo figure kuna nyongeza za vitu kama house na transport allowance au vimejumuishwa humo humo na je ni kabla au baada ya makato?
 
Izo figure kuna nyongeza za vitu kama house na transport allowance au vimejumuishwa humo humo na je ni kabla au baada ya makato?

Hii ni basic salary yaani kabla ya kukatwa kodi na Social Security!! Nyumba na biasharan nyingine ni mehesabu mengine kabsa
 
wadau mimi nisaidien nipo specific na mshahara wa ass lecturer pale cbe au hombolo
 
wadau mi niko specific na mshahara wa ass lecturer pale cbe au hombolo
 
Wana JF,

Habarini za asubuhi, naombeni kuwauliza kwa anayefahamu mshahara wa kuanzia kwa position ya Assistant Lecturer kuanzia ni sh ngapi? for both public and private Universities

Pia Lecturer kuanzia kazi ni pesa ngapi!?

Asanteni

udom last month wamelipa 2.4M Gross salary hii ni kufuatia mabadiliko ya salary
 
Back
Top Bottom