Jamani mshahara wa May 22 vipi

Jamani mshahara wa May 22 vipi

Ngoma imesoma….
Salaryslip tayar mambo super!
Nyongeza ipo?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],bado mpàka mwezi wa Saba
 
Nyongeza ipo?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],bado mpàka mwezi wa Saba
Tutaongeza mwezi wa 7. ..na proportional kwa kuanzia 23% Kima Cha chini

Watumishi muwe Wazalendo kwa Taifa letu
 
Achà matusi hayo. Nilizaliwa kabla ya TANU na sikujiunga nayo ingawa nili support harakati zake za uhuru. then ikaja CCM , nikaikataa maana policy za Nyerere sikuzipenda na mpàka leo maana sioni la maana. After all Uhuru ungelikuja since we were a protectorate under British guardianship
Sawa,hebu tuendelee kukipigania chama chetu kipya Umoja party
 
Haya umeshalipwa sasa( according to wachangiaji),,, FUTA UZI
 
Back
Top Bottom