Madam secretary
Member
- Mar 6, 2015
- 70
- 221
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Almanusura wagongwe na gari lakini waaaapi![emoji2377]
View attachment 1840482 View attachment 1840485
Umefanya uhuni weeee na kukataa wanaume kisa bado hujafaidi maisha. Sikia, unajuwa wanaume ni wafuatiliaji wazuri sana wa historia ya mwanamke wanaotaka kuwa nao kimahusiano, kama ulikuwa na mambo ya mademu wa bongo movie huko nyuma basi tegemea kuchezewa tu mpaka unazeeka.Habari zenu wakuu,
Mi Nina swali, ivi?! Inakuaje?! Watu wanapendana adi wanavaa sare adi wanaoana? Seriously mtuibie Siri tunakwama wapi wengine ndo tunazeeka ivo
Umeacha kukwoti.. kweli awaachie wenyeweMambo yao waachie wenyewe...
Kila shetani na mbuyu wake madam katibu muhtasiHabari zenu wakuu,
Mi Nina swali, ivi?! Inakuaje?! Watu wanapendana adi wanavaa sare adi wanaoana? Seriously mtuibie Siri tunakwama wapi wengine ndo tunazeeka ivo