SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Ni kama nimeelewa afu kama sijaelewa yaan dilemmaHumu wengi wanachekesha, jameni mjue kuwa nyie hampo serious kweli mnaamini picha za avatar. Haya basi kama mnataka mtu awe utakavyo siunagharamia sasa mtu kafikia alipofikia ubashangaa what niwewe ,?? Eh kwani nimegharamiwa ili nipendeze what if naona mi nilivyo nipo sawa.
Hi sio facebook unaweka real life . Hii ni jamii forum unaweka picha uipendayo na sio wewe ni umeipata tu huko so msi kariri maisha.
huyo ni bibi wa bibi yangu halafu bibi yakeMfano wewe ndio huyo hapo kwenye profile ??
Ila mkuu sio poa, mzigo wenyewe huoHumu wengi wanachekesha, jameni mjue kuwa nyie hampo serious kweli mnaamini picha za avatar. Haya basi kama mnataka mtu awe utakavyo siunagharamia sasa mtu kafikia alipofikia ubashangaa what niwewe ,?? Eh kwani nimegharamiwa ili nipendeze what if naona mi nilivyo nipo sawa.
Hi sio facebook unaweka real life . Hii ni jamii forum unaweka picha uipendayo na sio wewe ni umeipata tu huko so msi kariri maisha.
Mbn mm facebook natumia fake ID piaMfano wewe ndio huyo hapo kwenye profile ??
Sijaelewa kamaanisha nn
Kumbe hatujaelewa wengi mzeee tupo dilemmaAliyeelewa pls
dada hataki kutoa naniiii,,,,,,!!!!
mchumba mambooAliyekufundisha ku-tag namlaumu kinyama!!
π π π Kipapa sio?dada hataki kutoa naniiii,,,,,,!!!!
ni nani angu sasaNi kama nimeelewa afu kama sijaelewa yaan dilemma
Nielewesheni kdg apo
Uongoo
Ndio gharamikieni wadada wengi si wabaya ni wazuri na wanahitaji wagaharamiwe wapendezeeKweli bwana tugharamie, vizuri vya hitaji gharama.