Jamani muwe serious basi

Jamani muwe serious basi

We wa kutufundisha sisi maisha? Dunia imeisha hakika wanafunzi watajifanya walimu.
 
Humu wengi wanachekesha, jameni mjue kuwa nyie hampo serious kweli mnaamini picha za avatar. Haya basi kama mnataka mtu awe utakavyo siunagharamia sasa mtu kafikia alipofikia unashangaa what niwewe ,?? Eh kwani nimegharamiwa ili nipendeze what if naona mi nilivyo nipo sawa.

Hi sio facebook unaweka real life . Hii ni jamii forum unaweka picha uipendayo na sio wewe ni umeipata tu huko so msi kariri maisha.
Alitegemea akuone mweupe lipstick kama yote mtindi mnene na tako kama kwenye avatar yako kumbe we ni mwajuma maneno mengi umbo namba mojaaa🤣🤣.
 
Alitegemea akuone mweupe lipstick kama yote mtindi mnene na tako kama kwenye avatar yako kumbe we ni mwajuma maneno mengi umbo namba mojaaa🤣🤣.
Hapana mie sio namba moja mie ji mzuri napendeka sema nimeamua kuwa local lady kwa sasa. Hadi niwe na mtu atakayenipendq nilivyo kwa sasa .
 
Back
Top Bottom