Jamani mvua imekataa kabisa

Jamani mvua imekataa kabisa

Kila kitu kimekauka.
El Nino El Nino kumbe ni mbinu ya upigaji wa hela za walipa kodi
Hujaona mitaro imezibuliwa na mingine imechimbwa kupitisha joto?

Au wewe hujui kama joto nalo lina flow?
 
😁😁😁
Hivi utabiri na ubashiri utofauti wake ni upi?
Kuna muda hata TMA wanajifungia ofisini wanacheka😁.
 
Kwa damu hiz dunian zinavo mwagika ni laana tu.
Mvua zipo za kawaida tu had unaisha mwaka.
Mvua kubwa na mbaya zipo mwanzon mwa mwaka 2027.

Tujipange na upepo mkali pia magonjwa tuwe wasafi wa mazingira
 
Back
Top Bottom