hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 6,772 Reaction score 15,651 Oct 29, 2026 #21 Retired said: Kila kitu kimekauka. El Nino El Nino kumbe ni mbinu ya upigaji wa hela za walipa kodi Click to expand... Hujaona mitaro imezibuliwa na mingine imechimbwa kupitisha joto? Au wewe hujui kama joto nalo lina flow?
Retired said: Kila kitu kimekauka. El Nino El Nino kumbe ni mbinu ya upigaji wa hela za walipa kodi Click to expand... Hujaona mitaro imezibuliwa na mingine imechimbwa kupitisha joto? Au wewe hujui kama joto nalo lina flow?
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 18,577 Reaction score 23,171 Oct 29, 2026 #22 wakaharibu mpaka ratiba ya mihula kwa wanafunzi aibutupu
Pyaar JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 17,275 Reaction score 80,330 Oct 29, 2026 #23 😁😁😁 Hivi utabiri na ubashiri utofauti wake ni upi? Kuna muda hata TMA wanajifungia ofisini wanacheka😁.
😁😁😁 Hivi utabiri na ubashiri utofauti wake ni upi? Kuna muda hata TMA wanajifungia ofisini wanacheka😁.
Mme Mwenza JF-Expert Member Joined Feb 6, 2025 Posts 2,950 Reaction score 4,285 Oct 29, 2026 #24 Kwa damu hiz dunian zinavo mwagika ni laana tu. Mvua zipo za kawaida tu had unaisha mwaka. Mvua kubwa na mbaya zipo mwanzon mwa mwaka 2027. Tujipange na upepo mkali pia magonjwa tuwe wasafi wa mazingira
Kwa damu hiz dunian zinavo mwagika ni laana tu. Mvua zipo za kawaida tu had unaisha mwaka. Mvua kubwa na mbaya zipo mwanzon mwa mwaka 2027. Tujipange na upepo mkali pia magonjwa tuwe wasafi wa mazingira
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Nov 1, 2026 #25 Zinakuja... Cc: Mahondaw