bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 767
- 1,083
Juhudi ya kuzaa sana kuunga Mkongo Sera ya magu anataka kumtia mimba mjamzito ili azae mapacha teh teh eeNa hii ni juhudi ya awamu ya 5.
Tuendelee Kufyatua tu,Ujauzito Juu ya Ujauzito.Juhudi ya kuzaa sana kuunga Mkongo Sera ya magu anataka kumtia mimba mjamzito ili azae mapacha teh teh ee
Hakun mwanamke mtamu na mchungu ,ni hisia zako tu kwake na bao la utamu unao mwenyewe
we jamaa una busara naa akili nyingiYou are expected to be a father for your unborn child.
Now you are too happy to describe his/her mothers private part's taste.
Loh, what a loss for your child to be?!
Kesho utakuja kutuambia ulimkunja vipi mkeo au amenyoa style gani kule bondeni.
Grow up man.
Maandishi yanadumu haya, mwanao anaweza kuja kusoma na kwa bahati mbaya akapata kukujua your real identity.
Na hii ni juhudi ya awamu ya 5.