Jamani mwenye kujua tiba ya henia ya uti wa mgongo

Jamani mwenye kujua tiba ya henia ya uti wa mgongo

duocore

Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
55
Reaction score
5
Wana JF naomba kwa yeyote mwenye kujua tiba ya henia kwenye uti wa mgongo, yaani disk kutoka na kukandamiza neva za fahamu, nateseka, mwenye kujua tiba tofauti na upasuaji tafadhali.
 
Wana JF naomba kwa yeyote mwenye kujua tiba ya henia kwenye uti wa mgongo, yaani disk kutoka na kukandamiza neva za fahamu, nateseka, mwenye kujua tiba tofauti na upasuaji tafadhali.

Pole sana, hapa ni vyema ukafuata ushauri wa taaalam wa mifupa waliokuona na kukushauri upasuaji, laminectomy kuondoa hiyo disc... tiba mbadala ni mazoezi ambayo sio suluhisho bali ni kusaidia kupunguza maumivu kwa wakati huu
 
Back
Top Bottom