Jamani mwenye tetesi za ajira leo tar 25 atupe

Mzee Gwanda

Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
26
Reaction score
4
Yaani tangu asubuhi niko net napitia JF, naenda TAMISEMI narudi WIZARA YA ELIMU hadi bundle limeisha, chaji imeisha ila ninachosubiria sijakiona. Ukiachana na hayo usiku umekuwa mrefu sana kila dakika naangalia mda kuona kama imefika tar 25. Dah kweli mtaani kugumu sana
 
Tulia bana ajira zikitoka utasikia tu hata usipokua online.
Sasa kila muda mnaweka thread mpya issue ile ile tu mnajaza server bila ulazima
 
Kwanzia mida badae watu watanza ursha vibom ya pressure humu ndani tuache tu kuuliza uliza
 
Vuten subra walimu hata sis last year ilikuwa hivyo but walbana wakaachia. Ila nawaomba nenden kutumia fursa za vijijn tumien mishaara yenu kama mitaj ya kutokea kila la kher vjana wangu.
 
Vuten subra walimu hata sis last year ilikuwa hivyo but walbana wakaachia. Ila nawaomba nenden kutumia fursa za vijijn tumien mishaara yenu kama mitaj ya kutokea kila la kher vjana wangu.

iko doleeee
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Aiseeeeee umenichekesha mnooo, yan sikufichi kuna mtu hapa npo nae kaja home kuckilizia raha haipo kbxaaa mda wte ypo net umeme ukizingua tu anachajsha na power bank yke ipo full charge. Wasipotoa Leo utaskia kuna mtu tutazika kwa presha.
 
hatari sana
 
bora ww ndugu usiku wa kuamkia leo ulikua ni mwaka kwangu nlikua narudia hadi kuangalia movies nlizowah kuangalia mda uende nlilala sa nane kakini
haikusaidia
 
bora ww ndugu usiku wa kuamkia leo ulikua ni mwaka kwangu nlikua narudia hadi kuangalia movies nlizowah kuangalia mda uende nlilala sa nane kakini
haikusaidia

hahahahah!...le mbebez le mwalimu!..what a freak pro.
 
TAMISEMI KUACHIA MZIGO USIKU HUU. Hii ndio Tanzania
 
Teeenda miujizax2
Tenda Bwana.....
Teeenda miujizax2
Usiache Bwana mwezi upite,
Bila kutenda muujiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…