Mzee Gwanda
Member
- Oct 18, 2011
- 26
- 4
Yaani tangu asubuhi niko net napitia JF, naenda TAMISEMI narudi WIZARA YA ELIMU hadi bundle limeisha, chaji imeisha ila ninachosubiria sijakiona. Ukiachana na hayo usiku umekuwa mrefu sana kila dakika naangalia mda kuona kama imefika tar 25. Dah kweli mtaani kugumu sana