tqr
Member
- Jul 7, 2017
- 61
- 22
Ni kwanini asilimia 46 ya vinasaba vinapingà uhalalili wa mtoto kwa wazazi husika msaada plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefanya lini utafiti au umechukua sample moja?Ni kwanini asilimia 46 ya vinasaba vinapingà uhalalili wa mtoto kwa wazazi husika msaada plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeongea hii kulingana na vigezo vya ustawi wa jamii maana hawakubaliani kigezo hicho kwani wanasema muda mwingine sayansi haiko sahihi na inaleta mizozo mungu ndo maana nikaomba msaada kwa mtu alie na uelewa kuhusu hii issue kama ni sahihi
utafiti wao hawa jamaa uliowasoma hapo juu,ni waongo DNA ya paternity test ipo,na imethibitishwa kisayansi ila ni lazima uwe na sample zote za damu ya motto,mama,na baba,hii ni dunia ya technology ,na hii ipo ila ni gharama kuifanya,kama kuna matatizo ya kifamilia pitia mahakama ,ambayo ina uwezo wa kuamuru sample zichukuliwe ili DNA ifanyike na gharama zinalipwa na mlalamikaji.
Sent using Jamii Forums mobile app