JIMMY JORAM
Member
- May 1, 2013
- 38
- 20
Jamani chuo cha Josia kibira Bukoba centre ni tawi la chuo gani? na mashariti ya pale ki malipo..! mwenye uelewa bac!
Ni branch ya SAUT
Hicho ni chuo coz TCU wamenipeleka pale!
Acheni majungu kuna aliyefeli akachaguliwa chuo na tcu?we oil sumu cuna 3 ya kumi na tatu ndo wamekupanga mkwawa?iweje nw unadic mtu wa kumi na cta akati kapata daraja kama lako?kueni waungwana bhana..mtu kauliza kitu kama hujui acha,hujaandikiwa wewec o tcu wamekupeleka ulchagua mwnyewe kwann ucngeweka udsm sorry kumbe ulfel ulpata 3 ya 16
Acheni majungu kuna aliyefeli akachaguliwa chuo na tcu?we oil sumu cuna 3 ya kumi na tatu ndo wamekupanga mkwawa?iweje nw unadic mtu wa kumi na cta akati kapata daraja kama lako?kueni waungwana bhana..mtu kauliza kitu kama hujui acha,hujaandikiwa wewe
Jamani chuo cha Josia kibira Bukoba centre ni tawi la chuo gani? na mashariti ya pale ki malipo..! mwenye uelewa bac!
Ni branch ya SAUT
Ndugu yangu iki chuo ni cha kisasa sana, ndo kimejengwa na admision hizi si za kwanza, ni kma za pili au tatu, hiki chuo ni tawi la makumira university lakini kiko poa kuzidi hata main campus yake, maji ya ziwa victoria, umeme wa kutosha, hali ya hewa nzuri sana, kiko adjacent na barabara. Kiko ndani ya manispaa ya bukoba - katika kata ya buhembe. Siku ukifika bukoba, fanya , jifanye wewe ni mwenyeji tafuta usafili wa tax,au pikipiki, mwambie driver akupeleke BINSHWI CHUONI, ukimwambia hivyo ndo ataelewa, lakini ukimwambia eti josia kibira, hamtaelewana. Mkiwa katikati ya mji mtaelekea upande kaskazini kilometer kama 4/5. tayari utakuwa huko chuoni. Ninachoweza kukwambia ni kwamba hiki chuo ni kizuri sana. tulia ujipatie elimu.
Josiha kibira(JOKUKO) ni chuo kikuu kilichopo bukoba kaskazini kutoka bukoba mjini ni almost 8km kufuata kishozi road nauli ni 1000 kwa daladala na 2000 kwa bodaboda..Ni tawi la tumaini makumira,pale nahisi kuna faculty ya BAED...ni chuo kilicho jirani sana na ihungo sec na nyakato...sheria zao bado cjazfaham vizuri but kuna mazingira mazuri ya kujisomea wana hostels za kutosha admited students...kama ufagilii mauzo ya kusoma town na starehe za kupoteza muda we jitupie JOKOKU