Jamani mwenye uelewa na chuo cha Josia kibira Bukoba centre...!!!

Jamani mwenye uelewa na chuo cha Josia kibira Bukoba centre...!!!

tulia ww dogo jiandae ukaanze kusoma mwaka wako wa 1 !na ukianza chuo uwe bize kusoma usiiingie jf maana utadisco!
 
sasa kama huna sifa ntakusifiaje!?? wewe kweli kilaza..au unajua kila mda sifa zinatoka 2! ww mbona ulivyo-reseat 4m 4 ckukusifia!?? gpange
 
Duh! pongezi kwenu wakuu kwa kunielewesha vizuri mpango mzima najipanga...!! Mwambieni oilsumu
 
duuuuuu,ndo nakisikia leo hicho chuo,unaenda kusomea cheti au diploma,vyuo vinaongezeka af madogo wanazidi kufeli
 
Back
Top Bottom