Jamani mwenye uelewa na chuo cha Josia kibira Bukoba centre...!!!

tulia ww dogo jiandae ukaanze kusoma mwaka wako wa 1 !na ukianza chuo uwe bize kusoma usiiingie jf maana utadisco!
 
sasa kama huna sifa ntakusifiaje!?? wewe kweli kilaza..au unajua kila mda sifa zinatoka 2! ww mbona ulivyo-reseat 4m 4 ckukusifia!?? gpange
 
Duh! pongezi kwenu wakuu kwa kunielewesha vizuri mpango mzima najipanga...!! Mwambieni oilsumu
 
duuuuuu,ndo nakisikia leo hicho chuo,unaenda kusomea cheti au diploma,vyuo vinaongezeka af madogo wanazidi kufeli
 
mkuu kuna demu nimesoma naye anaitwa letisia joseph nae kawa admited hapo kwa kozi ya BaEd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…