Swali langu bibie pm zote huwa unajibu kwa wakati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]katisha hahahah
Sema walah!! ebu muonyeshe demoNaanzaje kwa mfano siku hizi nina mazoez ya kutosha labda wewe ndiyo utaumia
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Naanzaje kwa mfano siku hizi nina mazoez ya kutosha labda wewe ndiyo utaumia
Unapishana na neema we mtotoSubiria zifike 100[emoji23][emoji23][emoji23]
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza
Nahakika umeweka notification on akipost tu alarm inakushtua [emoji23]Haya ni maji mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]
nilishaelekezwaUnakuja wapi wakati hupajui[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nahakika umeweka notification on akipost tu alarm inakushtua [emoji23]
Karibu sana uongeze idadiii jaman zifike hata 100
Asante sana mdogo wangu, barikiwaHahahahha wewe tena umepata
Nitafurahi sana!Ngoja leo nije pm kwako upate baraka