Jamani mwenzenu napokea PM 93 za JF kwa siku nitakuwa na tatizo?

Hizo PM zote tuambie wanataka nini...katika hyo idadi 90 watakua wanataka kwichi kwichi so Ungetuuliza kwanini PM 90 zote wataka kwichi kwichi,idea za vitu vingine hawana?
 
Hahahahha kwann kwichi kwichi
Hizo PM zote tuambie wanataka nini...katika hyo idadi 90 watakua wanataka kwichi kwichi so Ungetuuliza kwanini PM 90 zote wataka kwichi kwichi,idea za vitu vingine hawana?
 
Yan napata tabu mm acha tu chochote ninachocomment yupo mpaka naona aibu sasa
Kwa niaba namuombea awe wa kwanza maana ulipo yupo [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom