Hahaha Kweliii Muhimu IoKiwanda cha utapeli nauli kila mmoja elf 40000 × 100=
ngojea nakuja kukujibu huko huko PM sasa nieke foleni shauri lakoHahahahha kwann kwichi kwichi
Kigari Si Unahongwa R.E.L.A.XHapo sijanunua kigar tu
Kwa niaba namuombea awe wa kwanza maana ulipo yupo 😀😀😀Hiyo huwa ya mwisho ndiyo maana analalamika sana
Bajeti ya demu wangu ni yangu pekeeHahahaha sasa King si atatukimbia tunamuongezea bajeti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujui Maana Ya PM .... Ngoja Nikitoka Nkuhungu KwanzaNihonge basi wangu