Jamani mwenzenu napokea PM 93 za JF kwa siku nitakuwa na tatizo?

Nadhani wanavutiwa na thread zako... wanahisi vile unavyojiachiaga JF hata maisha ya kawaida utakua hivyo hivyo...

Kwa lugha nyepesi wanajaribu bahati zao, wanakutamani...


Cc: mahondaw
 
Se umuninamba nee antu eze inye aninamba muwamama huruma neno No koza seka mukutumila 😂😂

BTW natafuta mnyaturu nao ni wamama huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…