VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
Hakuna hiyo kitu aisee,kuna wenzio nliwaambiaga kipindi fulani wakanishambulia kwa matusi kibao lakini nafikiri wanayona sasa.
mwalimu mwenzangu vp wewe umepngiwa kituo??
zitatoka next week . Hii ni confirmed katibu mkuu kwa hiyo tulia na walisha shortlist mpo 2219 ni kibali kilikuwa kinasumbua
Hawa walimu wangekuwa waelewa mapema sana wangekuwa wamesha anza mambo mengine nilisha washauri hawashauriki, na watu kama nyie mmekuwa mkizidi kuwadanganya wenzenu mnawahadaa kwa maneno confimed,mnawafanya wenzenu wanapoteza mda kusubiri vitu vya kusadikika.zitatoka next week . Hii ni confirmed katibu mkuu kwa hiyo tulia na walisha shortlist mpo 2219 ni kibali kilikuwa kinasumbua
ni kweli mkuu maana kuna mdogo wangu anasubiri pia?
Hawa walimu wangekuwa waelewa mapema sana wangekuwa wamesha anza mambo mengine nilisha washauri hawashauriki, na watu kama nyie mmekuwa mkizidi kuwadanganya wenzenu mnawahadaa kwa maneno confimed,mnawafanya wenzenu wanapoteza mda kusubiri vitu vya kusadikika.
2,219 kuajiriwa tena kuziba nafasi ya wale ambao hawaku ripoti-chanzo gazeti HABARI LEOJamani mimi mwalimu mwenzenu katika post za walimu za mwanzo jina langu halikutokea, kama mwwenye kujua kuwa post zimetoka kwa awamu ya pili???
hivi unajua wewe ndio mwongo hapa...
Mh! Haya na wenzio waliyasema hayahaya kamuulize mwenzio aliye jiifa KICHEDE22 tena yeye ndii alijinadi kuwa kaongea na naibu waziri ,hahahaaaaa mtafute umuuulize basi,acheni kuwapa moyo wenzenu kwa mambo ya kusadikika, nakupinga kwa uhakika kabisa hiyo next wk unaya wadanganya wenzio hakuna kitu kitu kama hicho, na wala msihadaike na hizo habari za 2219 .nawashauri walimu nendeni mkafanye mambo mengine mtazidi kupotezewa mda wenu bure kwa habari za kubuni.huu ni ushauri wangu kama mtaendelea kuniona muongo endeleen kusubiria
Tatizo hamjajua hadi leo hii nchi kwa sasa ipoje na hilo ni tatizo, mkiambiwa hali halisi mnamuona mtu anawakatisha tamaa hivyo mnapenda kuamniwa yale ambayo nafsi zenu zinataka kuayasikia na si vinginevyo.sasa si tatizo endeleeni kusubiri maana mmeamua ,nchi hii siasa kwanza utekelezaji baadae.Mkuu mbona unapenda kuwakatisha wenzio tamaa umepewa source kuwa gazeti la habari leo kama sikosei la tarehe 5 or 6 mwezi huu ndo waliandika izo habari kuwa serikali itaajiri tena walimu wapya 2,219 na hilo lilikuwa tamko la serikali tena bungeni labda utuambie wewe wapi uliona ukaambiwa awato ajiri tena awamu ya pili, ndugu yangu kama wewe unakazi ni wewe kuna watu bado wanatafuta kazi zaidi ya miaka 5 sasa.
Hawa walimu wangekuwa waelewa mapema sana wangekuwa wamesha anza mambo mengine nilisha washauri hawashauriki, na watu kama nyie mmekuwa mkizidi kuwadanganya wenzenu mnawahadaa kwa maneno confimed,mnawafanya wenzenu wanapoteza mda kusubiri vitu vya kusadikika.
Tatizo hamjajua hadi leo hii nchi kwa sasa ipoje na hilo ni tatizo, mkiambiwa hali halisi mnamuona mtu anawakatisha tamaa hivyo mnapenda kuamniwa yale ambayo nafsi zenu zinataka kuayasikia na si vinginevyo.sasa si tatizo endeleeni kusubiri maana mmeamua ,nchi hii siasa kwanza utekelezaji baadae.
Kwahiyo yule majaliwa(waziri)alikuwa anawadanganya watanzania pale bunguni?
sikiliza mtaajiriwa next week majina yanatoka aminihivyo