Jamani mwenzenu nimesota mtaani hadi basi!!!

Mawazo Ya Mungu Si Kama Mawazo Ya Wanadamu, Hakuna Jambo Lisilowezekana Kwake, Yale Ambayo Tunaona Ni Magumu Kwa Mungu Ni Mepesi Sana. Naamini Katika Mungu Tutaajiriwa Kwani Mungu Si Dhalimu Kama Tulivyo Wanadamu!

Asante Mungu Kwa Kutenda. Fanya Njia Kwa Wale Waloaschwa Tena Kwani Wewe Ndiye Mtoa Riziki Kwa Wanadamu.
 
Mtoa mada habari yako?

Umeshaangalia tena selection za walimu, maana zimetoka. Kama bado nakushauri fungua huu uzi utakusaidia kujua kama umechaguliwa au laa mkuu.
[h=1]Ajira mpya za walimu awamu ya pili hizi hapa[/h]Fungua link ya pili inayoonekana ya kwanza kama haijakaa vizuri.

Kila la kheri
 
Mbona Wametoa.
Nilikuwa nawapa warm up vijana ili kama lingetokea hilo wawe walisha jiandaa ki saikologia si unajua nchi hii tia maji tia maji mnaweza mkaambiwa A ikaja C , haya mkaanze kazi sasa sio kesho tu tunasikia mara oooh! Mshahara mdogo ,mara sijui mazingira mabaya fanyeni kazi kwa moyo mmoja na mungu awatie nguvu.
 
Ha ha ha we jamaa unanifuraisha sana.
 
Ha ha ha we jamaa unanifuraisha sana.

Saa hizi roho kwatuu! Kijana wangu.ila! Aombeeni wenzeni wengine nimeona wanalalamika humu majina yao hayapo kwenye hizo ajira.
 
Ni kweli ila wasikate tamaa labda kuna matatizo ya hapa na pale tuzidi kuwaombea coz tatizo la ajira tz ni janga la kitaifa kwa vijana
 
sijui kwanini vitu haviko straight ila waataupdate tena mtaajiriwa.
 
Nilikuwa nawapa warm up vijana ili kama lingetokea hilo wawe walisha jiandaa ki saikologia si unajua nchi hii tia maji tia maji mnaweza mkaambiwa A ikaja C , haya mkaanze kazi sasa sio kesho tu tunasikia mara oooh! Mshahara mdogo ,mara sijui mazingira mabaya fanyeni kazi kwa moyo mmoja na mungu awatie nguvu.

hahahaha!we jamaa unatisha,haya bhana
 
Back
Top Bottom