M Loveness
Member
- Apr 5, 2014
- 36
- 4
Hakuna hiyo kitu aisee,kuna wenzio nliwaambiaga kipindi fulani wakanishambulia kwa matusi kibao lakini nafikiri wanayona sasa.
Mbona Wametoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna hiyo kitu aisee,kuna wenzio nliwaambiaga kipindi fulani wakanishambulia kwa matusi kibao lakini nafikiri wanayona sasa.
Look; alikatisha sana watu tamaaMbona Wametoa.
Look; alikatisha sana watu tamaa
Mawazo Ya Mungu Si Kama Mawazo Ya Wanadamu, Hakuna Jambo Lisilowezekana Kwake, Yale Ambayo Tunaona Ni Magumu Kwa Mungu Ni Mepesi Sana. Naamini Katika Mungu Tutaajiriwa Kwani Mungu Si Dhalimu Kama Tulivyo Wanadamu!
Look; alikatisha sana watu tamaa
sikiliza mtaajiriwa next week majina yanatoka aminihivyo
Umeona Eeh! lakini atajirekebisha tumsamehe tu.
Nilikuwa nawapa warm up vijana ili kama lingetokea hilo wawe walisha jiandaa ki saikologia si unajua nchi hii tia maji tia maji mnaweza mkaambiwa A ikaja C , haya mkaanze kazi sasa sio kesho tu tunasikia mara oooh! Mshahara mdogo ,mara sijui mazingira mabaya fanyeni kazi kwa moyo mmoja na mungu awatie nguvu.Mbona Wametoa.
Nilikuwa nawapa warm up vijana ili kama lingetokea hilo wawe walisha jiandaa ki saikologia si unajua nchi hii tia maji tia maji mnaweza mkaambiwa A ikaja C , haya mkaanze kazi sasa sio kesho tu tunasikia mara oooh! Mshahara mdogo ,mara sijui mazingira mabaya fanyeni kazi kwa moyo mmoja na mungu awatie nguvu.
Ha ha ha we jamaa unanifuraisha sana.
Saa hizi roho kwatuu! Kijana wangu.ila! Aombeeni wenzeni wengine nimeona wanalalamika humu majina yao hayapo kwenye hizo ajira.