Jamani mwenzenu sijielewi

Jamani mwenzenu sijielewi

una hatari ww!hivi unajua dk 45 ni nyingi mnooo?
 
Hiyo ni dalili ya Kupungukiwa NGUVU za kiume..kwa maelezo yako unakoelekea ni kushindwa kabisaa hata hilo moja..Nenda hospt kwa ushauri zaidi maana km hujaoa ujue ndo mwelekeo wa kukosa hata mtoto.
 
jamani wana MMU nilikuwa naomba maoni yenu na ushaur wenu juu ya hili swala. mimi bwana nashindwa kujielewa kutokana na pindi ninapofanya mapenz huwa nachukuwa mda mrefu sana mpaka kufka kilelen hata kma ni raund ya kwanza kwamfano naweza chukuwa hata dakka 45 ktka raund ya 1 na kwa raund ya pili ndo usiseme coz mpenz wangu huwa yeye anapiz hata mara 3 alfu me ndo kwanza nipo kamoja, NB: nilikuwa naomba kuulza hii inawezakuwa ni tatizo au ni ki2 cha kawaida2 kwa mwanaume?

njoo nikugegede ili uwe unawahi kufika kileleni, wengi niliyowapa hiyo tiba wamekuja.kunishukuru.
 
Mwambie mpenzi wako aache kusoma gazeti wakati unammega.
 
uko serious mkuu???

Yeah, kwa sababu kumfikisha mwanamke ni sawa na kula g'ombe na kufika wewe ni kumalizia mkia. Kazi ngumu ni kumfikisha wanamke , mwanaume huwezi kuhangaika sana. Na nafikiri mtoa mada hajalakamika kutofika bali kuchelewa sana kufika. Sasa anachotaka ni nini?
 
jamani wana mmu nilikuwa naomba maoni yenu na ushaur wenu juu ya hili swala. Mimi bwana nashindwa kujielewa kutokana na pindi ninapofanya mapenz huwa nachukuwa mda mrefu sana mpaka kufka kilelen hata kma ni raund ya kwanza kwamfano naweza chukuwa hata dakka 45 ktka raund ya 1 na kwa raund ya pili ndo usiseme coz mpenz wangu huwa yeye anapiz hata mara 3 alfu me ndo kwanza nipo kamoja, nb: Nilikuwa naomba kuulza hii inawezakuwa ni tatizo au ni ki2 cha kawaida2 kwa mwanaume?
sifa tu huna lolote ndo nyie hata kugegeda hamjui
 
Back
Top Bottom