Jamani mziki wa club mshenzi unaweza kunigharimu kuanzia bei gani?

Jamani mziki wa club mshenzi unaweza kunigharimu kuanzia bei gani?

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Namaanisha speakers za mdundo mzuri na radio selector yake zinaweza kunigharimu bei gani wakuu.

Ambavyo ukifungulia muziki watu wa kitaa wanaweza kuenjoy muziki mzuri
 
Nenda city music kariakoo watakupa mchanganuo mzuri kuliñgana na eneo lako, Mazingira ya biashara yako na Kiwango cha pesa ulichonacho. Au tafuta sound engineer atakusaidia zaidi.
 
Back
Top Bottom