Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana awe nawe,
awe pia na mumeo,
Amiiina!
*Nimesikia upo Nai..ni hospitali gani nije nikuletee maua jamani!??
hahahahaha teamo bwana! ALL THE BEST SHISHI MUNGU AWE NAWE!haya mama!....
Nimerudi kwenye safu ya wanamaombi kwa kasi ya kimbunga.
Kesi yako ni nzito lakin kwa maisha ya kisasa imeonekana ''kupendwa sana''.
Bottom line nakuombea dua umtoe huyo kiumbe humo tumboni
ingawa kila nikiangalia tarehe za harus yako na siku ya kujifungua naona kama kuna uchakachuaji hapo hapo😛arty:
Kila la heri Shishi, nakuombea uweze kuepuka CS lakini kama daktari akisisitiza basi namuomba mola kila kitu kiende shwari.
God Bless You