Drc congo JF-Expert Member Joined Apr 3, 2019 Posts 636 Reaction score 2,896 Apr 30, 2021 #1 Jambo kwa jumla mimi nikijana wa miaka 20 meno yangu yana rangi mbaya sa kama kuna mtu umu ana fahamu dawa ya kungarisha meno aniambiye
Jambo kwa jumla mimi nikijana wa miaka 20 meno yangu yana rangi mbaya sa kama kuna mtu umu ana fahamu dawa ya kungarisha meno aniambiye
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,368 Apr 30, 2021 #2 Ajax paris said: Jambo kwa jumla mimi nikijana wa miaka 20 meno yangu yana rangi mbaya sa kama kuna mtu umu ana fahamu dawa ya kungarisha meno aniambiye Click to expand... Onana na Dentist hiyo ndo kazi yao. Angalia kama huyu yalivyokua na yalivyo baada ya kusafishwa.
Ajax paris said: Jambo kwa jumla mimi nikijana wa miaka 20 meno yangu yana rangi mbaya sa kama kuna mtu umu ana fahamu dawa ya kungarisha meno aniambiye Click to expand... Onana na Dentist hiyo ndo kazi yao. Angalia kama huyu yalivyokua na yalivyo baada ya kusafishwa.
Lily Tony JF-Expert Member Joined Feb 6, 2019 Posts 3,198 Reaction score 4,191 May 1, 2021 #3 Kwa upande wangu wakati wa kupiga mswaki,baada ya kutumia dawa nachukua jivu kidogo naweka kwenye mswaki then nasugua meno.Nafanya hivi mara 2 tu kwa wiki,hii imesaidia sana kuwa na meno meupe yenye kung'ara
Kwa upande wangu wakati wa kupiga mswaki,baada ya kutumia dawa nachukua jivu kidogo naweka kwenye mswaki then nasugua meno.Nafanya hivi mara 2 tu kwa wiki,hii imesaidia sana kuwa na meno meupe yenye kung'ara
Drc congo JF-Expert Member Joined Apr 3, 2019 Posts 636 Reaction score 2,896 May 2, 2021 Thread starter #4 Lily Tony nitajaribu asante
My memeh Senior Member Joined Jul 12, 2021 Posts 106 Reaction score 128 Jul 15, 2021 #5 K Njunwa Wamavoko said: Onana na Dentist hiyo ndo kazi yao. Angalia kama huyu yalivyokua na yalivyo baada ya kusafishwa. Click to expand... kAaah🤨
K Njunwa Wamavoko said: Onana na Dentist hiyo ndo kazi yao. Angalia kama huyu yalivyokua na yalivyo baada ya kusafishwa. Click to expand... kAaah🤨