Naomba mnisaidie ndugu zangu. Tatizo langu ni kuwa kila ninapokuwa nina hamu ya sex badala ya ute vinatoka vitu kama ute uliochanganyika na damu yaan kama period inataka kuanza... Napata shida sana kwan nashindwa kujua nn tatizo
Nahitaji msaada wenu tafadhali
Huyo atakuwa KE si unaona kaandika anakuwa kama period inakujajinsia yako tafadhali?
jinsia yako tafadhali?
Huyo atakuwa KE si unaona kaandika anakuwa kama period inakuja
Unatumia aina yoyote ya kinga?Hali hio inaweza kusababishwa na hormone fluctuations..au inaweza kuwa ni ishara ya infections kwenye uke/cervic au dalili ya polyps kwenye kizazi ama cancer.Nakushauri uende kwa daktari ukachekiwe
Tafuta Miti au Mihogo Kisha Mzibe Huko Kunakovuja ( Bleed ) na Tatizo Litakuwa Kwishnei............
Naomba mnisaidie ndugu zangu. Tatizo langu ni kuwa kila ninapokuwa nina hamu ya sex badala ya ute vinatoka vitu kama ute uliochanganyika na damu yaan kama period inataka kuanza... Napata shida sana kwan nashindwa kujua nn tatizo
Nahitaji msaada wenu tafadhali
Hiv utajickiaje unampeleka hospital mgonjwa wako wa kike yuko serious halafu unamsikia doctor anaongea maneno kama yako...
Nimejickia vibaya sana cos siko kwenye utan. Lkn nashukuru pia kwa ushaur wako pia
Pole sana dada kama hutumii njia ya uzazi wa mpango basi hiyo ni dalili kuu ya kansa ya shingo ya kizazi nenda kwa dokta haraka sana.
Kama huwezi kumsaidia bummy ni vyema ukawapisha wengine wakamsaidia, watu mnaropoka tu hata bila kuwa na uhakika na mnachozungumza
Hebu chukulia tatizo hili lingekuwa la kwako alafu unapata mrejesho wa namna hii.
Tubadilike siyo kila jambo ni masihara.
Pole dada yangu bummy, tafadhali wahi hospital mapema ili upate msaada!
Bummy Hujanizoea tu????? Anyway Naomba Radhi Sana Kama Nimekukwaza but I was Just Kidding Ngoja Sasa Nikutafutie Dawa Kabambe Ya Kumpatia Mgonjwa Wako.............Narudi...............!!!!!!!!!!!!!!!!!
Pole sana,hormones infections plus njia ya uzazi..(cervical effect),kwa namna na gharama yeyote wahi kwa specialist wa magonjwa ya kike,uwahi tatizo kabla halijala kizazi chote.!
Asante sana kwa ushaur mzuri ila naomba unisaidiw kama kuna daktar yoyote mzur unamfaham
Unaishi mkoa gani? Kama unaishi Dar nenda amana,mnazi,temeke au mwananyamala kisha watakupa rufaa uende Mhimbili,Mhimbili yawezekana ukalazwa na vipimo vitachukua wiki 3 kama utakuwa mtoa rushwa mzuri la sivyo hata miezi 6.kuna vipimo majibu yanatoka baada ya wiki 3.baada ya hapo utaperekwa Ocean road hosp.ila kama una mtu ocean road naomba kamuone haraka sana.Matibabu yako ni ghali sana dada,nakuomba uache shughuli zako zote uokoe uhai wako.niko honey moon Lushoto ningekuwa dar na wewe uko dar ningekusaidia hasa Mhimbili.
Nashukuru sana kwa msaada!!!
Niko dar.
Cha mhimu nenda kwenye hizo hosptal za mkoa na utumie mbinu kubwa ili wakupe rufaa haraka.Pole sana,nakuombea Mungu, washirikishe ndugu zako matibu ni na vipimo ni ghali.