Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
tafuta miti au mihogo kisha mzibe huko kunakovuja ( bleed ) na tatizo litakuwa kwishnei............
brother ,tatizo lako ni ile timu yako ndo inakuchanganya hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tafuta miti au mihogo kisha mzibe huko kunakovuja ( bleed ) na tatizo litakuwa kwishnei............
mkuu kama kweli una acces ya Muhimbili ungeweza kumsaidia dada bummy kuliko kuendelea kumtisha pasipo kupata msaada wowote!
Sidhani kama Muhimbili unafanya kazi peke yako kama kweli unafanya kazi huko! Unaweza kumuelekeza akapatiwa huduma.
Mpaka sasa hatujui tatizo rasmi linalomsumbu dada bummy kwani dalili alizozisema zinashabihiana na matatizo mengine mbali na uzazi na vipimo bado hajafanya.
Nashauri tupunguze kumtisha na badala yake tumpe msaada kwa walionao.
brother ,tatizo lako ni ile timu yako ndo inakuchanganya hivyo.