Jamani nahitaji msaada tafadhali

Polesana kwa tatzo hilo.ntafuta ntakusaidia kuna dawa ya kusafisha na kukausha matatzo ktk mfumo mzima wa uzazi kama unaitaji ntafute utapona.0759217720
 

Mkuu sijamtisha huyo dada bali nimemwambia ukweli halisi.Mwaka jana mwezi wa 10 bibi mzaa baba alikuwa na matatizo kama hayo vipimo viligharimu pesa nyingi na bibi alikuwa na dalili hivyo hivyo kwahiyo kuna madaktari niliunganisha nao urafiki kipindi hicho,ningekuwa niko dar kwakweli ningempeleka ila kwanza lazima apate rufaa.niko honey moon maeneo ya lushoto mkuu.
 
Last edited by a moderator:
brother ,tatizo lako ni ile timu yako ndo inakuchanganya hivyo.

Ebwana Hujakosea Mkuu Simba Inanichanganya Sana na Neno Lile La MBUMBUMBU. Kiukweli Sipo Vyema Kutokana Na Hali Ya Timu Yangu. Jamani Naipenda Simba Kushinda Hata Mademu Zangu na Hata Sasa SIGEGEDI Kwani MJUGUJU Wangu Kila Nikumbukapo tu Matokeo Ya Simba MJUGUJU Hausimami. Simba S.C. Mnanitesa Jamani....................!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…